*YALIYOSEMWA NA KAIMU KATIBU MKUU UVCCM SHAKA H. SHAKA KWENYE MAPOKEZI YA MWENYEKITI UVCCM KHERI JAMES UKUMBI WA VIJANA SOCIAL HALL DISEMBA 21, 2017*
"Mapokezi haya in bashrafu tu, in dalili tosha ya kubaliko lako. Tunakuombea heri kabisa." - Shaka
"UVCCM ni tajiri mno, ina Mali kubwa mno, haikupaswa kuwa maskini" - Shaka
"Mapato zaidi ya Tsh. Milioni 252 yalipotea kabisa na hayakujulikana yalipoenda ndani ya eneo hili LA Vijana Social Hall" - Shaka
"Vita ilikuwa kubwa sana kubomoa hapa lakini *tunamshukuru kwa dhati Rais Dk. John Magufuli* kuwa pamoja nami kwenye nyakati ngumu" - Shaka
"Nina uhakika tutatoka kwenye umaskini tutakwenda kwenye utajiri chini ya utawala wako Kheri James" - Shaka
"Nipo tayari kuwajibika kwa UVCCM na vyombo vya dola endapo itathibitika nimefanya ubadhirifu wowote ule" - Shaka
"Siogopi na sina kigugumizi kwenye kulinda maslahi mapana ya UVCCM" - Shaka
"Naomba iwekwe rekodi sawa, nimesimamia mambo mengi mazito kwa maslahi mapana ya UVCCM" - Shaka
Shaka H. Shaka ni kaimu Katibu Mkuu UVCCM aliyasema hayo katika ukumbi wa Vijana Social Hall Alhamis Disemba 21, 2017
Imeandaliwa Na:
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi
UVCCM Taifa
Post a Comment