Mbele ya
steji ilikuwa imepambwa na cover za magazeti ya Baabkubwa yaliyopita na kusomwa
na wengi.
Baghdady
kwa steji akifanya vitu vyake
Huku
burudani ikiendelea wengine walikuwa wakijisomea gazeti la Baabkubwa kama
kawaida kabisa
Sam wa
Ukweli alikuwa anatambulisha wimbo wake mpya pamoja na video yake
mpya
Nadiriki
kusema Club Maisha ilikuwa imejaa watu na joto lake lilikuwa si mchezo, kweli
watu wanapenda uzalendo wa club yao, hata kuwe vipi lazima mtu asimame mwanzo
mwisho atizame burudani
Kila siku
iendayo kwa mungu napotizama show za DYNA napata picha nyingine mpya machoni
mwangu kwa jinsi atakavyokuwa msanii wa kike anayetoa burudani kali kwa steji
kwa maana anajipanga sana, BIG UP mdogo wangu
Baba
Jonii akiwa kwa steji akimtambulisha Gadna G Habashi kwa steji ili aje
amtambulishe mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba
Captain
Gadna G Habashi kwa steji akimtambulisha mama mzazi wa
Kanumba
Na hii ni
picha kubwa aliyopewa mama yenye sura ya Kanumba kama kumbukumbu yao iliyotolewa
na gazeti hilo la BaabKubwa
DYNA
akimpa msanii wa kike mkongwe Lady Jay Dee tuzo ya msanii bora wa
kike
Yusuph
Mlela alipanda jukwaani kuja kutoa tuzo ya mwigizaji bora wa kike katika tasnia
hii ya filamu zetu za hapa bongo, na aliyekuja kuchukua tuzo hiyo ni
Monalisa
Monalisa
akiwashukuru BaabKubwa na mashabiki wake kwa ujumla
Madee
alikuja kutoa tuzo ya mwimbaji bora wa kiume ambaye alikuwa ni Prof Jay na
niliitwa mbele kuchukuwa tuzo hiyo kwa niaba yake kwamaana alikuwa hayupo Prof
Jay
Producer
Lamar alikuja kwa steji kutoa tuzo ya Producer bora wa mziki hapa bongo na
aliyekuja kuchukuwa tuzo hiyo ni GOD FATHER WA BONGO FLEVA P.Funk
Majani
Bob
Junior huwa haniangushagi katika show zake,
Big Up
sana Rich Mavoko unafanya poa sana katika show zako ila punguza mwili kidogo kwa
maana nilikuwa nakutizama nikaona kabisa umeongezeka so hapo mbele kama panataka
kutuna hivi.
Mr Blue
kwa steji akimuita mkongwe mwingine kwenye bongo fleva Q.Chief waje waimbe
wote
Q.Chief
BASI
SAWA....Mambo ya binadamu hayooo
Post a Comment