Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

CHINA YAFANYA TATHMINI YA UFADHILI WAO KATIKA MICHEZO


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na ujumbe wa wataalamu unaofanya tathmini ya miradi inayofadhiliwa na Serikali ya Jumhuri ya watu wa China kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania. kushoto ni Bwana Urio ambaye ni Meneja wa Uwanja wa Taifa(Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM

Baadhi ya wataalamu kutoka Serikali ya Jamuhuri ya watu wa China wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati walipokuwa na mkutano nae kuhusu tathmini ya miradi inayofadhiliwa na Serikali ya China Kwa ushirikiano na Serikali ya Tanzania (Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top