 |
| Jacqline
ameandika kwenye blog yake na namkariri akisema “kiukweli mimi kama Jacquline
Wolper sina ubaya na mtu yeyote, ila nmeshangaa kuona watu nisiyo wajua kuja
usiku wa manane na kunichomea gari yangu. Kiukweli siwezi kumuhisi mtu ila najua
ni lazima atakua mtu asiependa maendeleo yangu ni ni mtu mbaya sana kwangu. Na
inawezekana kabisa alipanga kunia lakni kwa bahati nzuri siku hiyo sikua
nyumbani nilikua nimesafiri. Tukio lilitokea usiku wa tarehe 23/10/2012 ambapo
mtu alitumia matambara yaliyo na mafuta ya taa au Petrol akiwa kwa nje ya ukuta
wa nyumba yangu akiwa anarusha kwa ndani. Nimepeleka taarifa kituo cha Polisi
kawe kwa kutaka msaada wa kiupelezi na nitakua nawapa taarifa za kila
kinachoendelea. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwani niko salama” |
on Thursday, November 1, 2012
Post a Comment