Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TRENI YA DAR YAMPELEKESHA DKT. MWAKYEMBE



Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe (aliyevaa pama katikati) akihojiana na abiria alipofanya ukaguzi ywa kushitukiza katika Stesheni ya TRL, Dar es Salaam leo kujionea matatizo yaliyojitokeza baada ya usafiri wa abiria jijini kuanzishwa wiki hii.

Mwakyembe akitoa maelekezo

Waziri wa Uchukuzi Dk.Harrison Mwakyembe (kushoto),akimwelekeza jambo Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Mhandisi Kipallo Kisamfu, wakati alipofanya ziara ya kushitukiza Stesheni ya Reli hiyo Dar es Salaam leo jioni, kujionea changamoto zilizopo baada ya kuanza kwa safari za treni hiyo ya abiria kutoka katikati ya Jiji hadi Ubungo Maziwa.(PICHA NA DOTTO MWAIBALAE)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top