Meneja Masoko wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya TIGO Goodluck Charles akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo akitangaza kuwa sasa Tigo inatoa ofa ya kutuma na kupokea pesa bure kwa kurudisha kiasi kilichotozwa kwenye huduma ya Tigo Pesa kwa njia ya salio. Kulia ni Tuli Mwaikenda wa Tigo.