Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MATUKIO ZAIDI YA NAMNA SHEIKH PONDA LIVYOPELEKWA MAHAKAMA YA KISUTU



Baadhi ya waislamu wakilalamika mbele ya askari waliokuwa wakilinda doria katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo asubuhi, wakitaka Katibu wa Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu Sheikh Issa Ponda, achiwe kwa dhamana. Ponda amerejeshwa tena rumande baada ya yeye na washitakiwa wenzie 49 kunyimwa dhamana katika ya kula njama ya kutenda kosa, wizi na uchochezi.
Wakiita Takbiii kuhamasishana
Polisi akiwasihi waondoke
Kikosi Maalum cha Magereza
Askari wakiwa tayari kukabiliana na vurugu hizo
Kikosi cha mbwa kilikuwepo
Baadhi ya ndugu na jamaa wa washitakiwa wakiingia huku wakisachiwa mlangoni

Kikosi cha farasi kilikuwepo. (picha zote na kassimu mbarouk)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top