Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

INSIKITISHA SANA: MTOTO ALIYEUNGUZWA NA KULAZIMISHWA KULA KINYESI CHAKE NA MAMA YAKE MDOGO AKATWA MKONO WAKE WA KUSHOTO...!!!


Kushoto ni mtoto Aneth akiwa amesimama huku mkono wake uliyo unguzwa ulivyo kuwa unaonekana mara baada ya tukio hapo juzi. Kulia mtoto Aneth anaonekana akiwa amelaza katika hospitali ya Rufaa Mbeya mara baada ya kukatwa mkono wake wa kushoto. Kwa habari kamili kuhusu mkasa huu bofya hapa
Kusema ukweli haijalishi huyu mtoto alifanya kosa gani hakusatahili adhabu kama hii na hatimaye kupoteza mkono wake. Hivi kweli atakuja kumsamehe huyo mama yake mdogo? Kuna binadamu wakatili sana duniani hapa. Mungu atusaidie na kutupatia roho za upendo na huruma. Ni matumaini yangu sheria itachukua mkondo wake na huyo mama aadhibiwe ipasavyo.

Bahati Rukangara huyu ndiye aliyemchoma mtoto Janeth
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top