Mkurugenzi mkuu wa PPF
Bwana William Eriyo akikabidhi hundi ya shilingi milioni kumi kama mchango wa
shirika lake kwa ajili ujenzi ya Hosteli ya wanafunzi wenye ulemavu wa viungo
na wasichana katika Chuo Kikuu cha St.John kilichopo mjini Dodoma, wakati wa
harambee iliyofanyika katika ukumbi wa Diamond jubilee jijini Dar ea Salaam
leo.Katika Harambe hiyo jumla ya shilingi milioni 584/m zilikusanya ikiwa ni
ahadi na fedha taslimu.Wapili kushoto ni Askofu mkuu wa Kanisa la Anglikana
Dr.Valentino Mokiwa na kulia ni Mkuu wa chuo hicho askofu mkuu mstaafu Dr.Donald
Mtetemela (Picha na Freddy Maro)
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
VOA Express3 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment