Rais
Jakaya Kikwete akizungumza jambo mara baada ya kuweka jiwe la msingi na kukagua
ujenzi wa nyumba wa nyumba 8 za waathirika wa maporomoko yaliyotokea katika
Kijiji cha Goha Kata ya Mamba Miamba Wilayani Same mkoani Kilimanjaro mwaka 2009
ambapo ni utekelezaji wa ahadi yake aliyoitoa kwao kama ubani wa serikali. Kulia
ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama.
Rais
Jakaya Kikwete akiweka jiwe la msingi katika ujenzi wa nyumba 8 za waathirika wa
maporomoko yaliyotokea katika Kijiji cha Goha Kata ya Mamba Miamba Wilayani Same
mkoani Kilimanjaro mwaka 2009 ambapo ni utekelezaji wa ahadi yake aliyoitoa kwao
kama ubani wa serikali. Kushoto ni Mkuu wa Wila ya Same Herman Clement Kapufi na
katikati ni Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango
Malecela.
moja ya nyumba hizo
zinazojengwa kwaajili ya waathirika hao wa maporomoko. Ina vyumba vitatu vya
kulala na sebule.
Rais
Jakaya Kikwete akipita kukagua ujenzi wa nyumba wa nyumba 8 za waathirika wa
maporomoko yaliyotokea katika Kijiji cha Goha Kata ya Mamba Miamba Wilayani Same
mkoani Kilimanjaro mwaka 2009 ambapo ni utekelezaji wa ahadi yake aliyoitoa kwao
kama ubani wa serikali. Rais Kikwete aliweka jiwe la Msingi la ujenzi wa nyumba
hizo juzi.


Post a Comment