Mshindi wa jumla wa
mashindano ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara 2012 Sudson Manatsa
akinyanyua juu vikombe vyake viwili alivyoshinda wakati wa Mashindano hayo
yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es
Salaam. Mashindano hayo yalidhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia
kinywaji chake kikali cha Johnnie Walker.
Mgeni rasimi wa Mashindano
ya Johnnie Walker Waitara Trophy, Mlezi wa Gofu nchini Kenya naMkurugenzi wa ICEA LION, Dunkan Nderitu Ndengwa kutoka nchini
Kenya akimkabidhi zawadi Mshindi wa jumla wa mashindano ya kuwania kombe
la Johnnie Walker Waitara 2012 Sudson Manatsa. Kampuni ya Bia ya
Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie
Walker.
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Stephen Gannon akimkabidhi
zawadi Mshindi wa pili wa daraja A, Aidan Nziku kikombe na zawadi nyingine
baada ya kuibuka mshindi wa kundi hilo katika mashindano ya kuwania kombe la
Johnnie Walker Waitara 2012. Kampuni ya Bia ya Serengeti
imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie
Walker.
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Stephen Gannon akimkabidhi
zawadi Mshindi wa daraja A, Michael Makala kikombe na zawadi nyingine baada ya
kuibuka mshindi wa kundi hilo katika mashindano ya kuwania kombe la Johnnie
Walker Waitara 2012. Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini
mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie
Walker.
Mgeni rasimi wa Mashindano
ya Johnnie Walker Waitara Trophy, Mlezi wa Gofu nchini Kenya na Mkurugenzi wa
ICEA LION, Dunkan Nderitu Ndengwa akizungumza wakati wa tafrija ya utoaji zawadi
kwa washindi ya michuano ya gofu ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara
2012. Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo
kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker.
Mgeni rasimi wa Mashindano
ya Johnnie Walker Waitara Trophy, Mlezi wa Gofu nchini Kenya na Mkurugenzi wa
ICEA LION, Dunkan Nderitu Ndengwa akizungumza wakati wa tafrija ya utoaji zawadi
kwa washindi ya michuano ya gofu ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara
2012. Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo
kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker. Wengine kutoka kulia ni Jenerali
mstaafu George Waitara (mwenye mashindano), Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya Bia yaSerengeti jaji mstaafu Mark
Bomani na Mkurugenzi Mkuu wa SBL, Stephen Gannon.
Mkuu wa Majeshi Mtaafu,
Jenerali George mwita Waitara akizungumza wakati wa tafrija ya utoaji zawadi
kwa washindi ya michuano ya gofu ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara
2012. Mashindano hayo yaliyofanyika kwa mara ya pili mwaka huu kwaajili yua
kuenzi mchango wa Jenerali Waitara katika gofu nchini yalidhaminiwa na Kampuni
ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha
Johnnie Walker.
Mwenyekiti wa Bodi ya
kampuni ya Bia ya Serengeti jaji mstaafu Mark Bomani akimkabidhi zawadi kwa
baadhi ya wachezaji wa gofu waliofanya vizuri katika mashindano hayo. Jaji
Bomani pia ni Mlezi wa Gofu Tanzania.
Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya Bia ya Serengeti jaji mstaafu Mark
Bomani akimkabidhi ubao maalum wa kuandika Majina ya Washindi ya kila mwaka.
Jaji Bomani pia ni Mlezi wa Gofu Tanzania.
Wadau mbalimbali walikuwepo
katika utoaji zawadi kwa washindi wa kombe la Johnnie Walker Waitara
2012.
Mwenyekiti wa Bodi
ya kampuni ya Bia ya Serengeti jaji mstaafu Mark
Bomani akizungumza wakati
wa tafrija ya utoaji zawadi kwa washindi ya michuano ya gofu ya kuwania kombe la
Johnnie Walker Waitara 2012. Kampuni ya Bia ya Serengeti
imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie
Walker.
Brand & Marketing
Coordinator wa Precisition Air, Hillary Mremi, akizungumza wakati wa tafrija ya
utoaji zawadi kwa washindi ya michuano ya gofu ya kuwania kombe la Johnnie
Walker Waitara 2012. Mashindano hayo yaliyofanyika kwa mara ya pili mwaka huu
kwaajili yua kuenzi mchango wa Jenerali Waitara katika gofu nchini yalidhaminiwa
na Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake
cha Johnnie Walker na kampuni ya Ndege ya Precision Air
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Stephen Gannon akizungumza
wakati wa tafrija ya utoaji zawadi kwa washindi ya michuano ya gofu ya kuwania
kombe la Johnnie Walker Waitara 2012.Kampuni ya Bia ya Serengeti
imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie
Walker.
Mkuu wa Majeshi Mtaafu,
Jenerali George mwita Waitara (kulia) akikabidhi tuzo maalum ya shukrani kwa
wageni waalikwa kutoka nchi marafiki na JWTZ walioshiriki katika michuano ya
gofu ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara 2012. Mashindano hayo
yaliyofanyika kwa mara ya pili mwaka huu kwaajili yua kuenzi mchango wa Jenerali
Waitara katika gofu nchini yalidhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti
imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker.
Post a Comment