Wajasiria Mali wa Vikundi mbalimbali wakiwa
katika kutangaza Biashara zao nje ya Ukumbi wa Mkutano katika Hoteli ya Zanzibar
Beach Resort Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif
Sharif Hamad akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Mkutano wa 36 wa Baraza la
Utawala la ARIPO linaloratibu na kusimamia haki za Mali za wabunifu Barani
Afrika mara Baada ya kuwasili katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort kwa ajili
ya kuufungua Mkutano huo hapo Mazizini Nje ya Mji wa
Zanzibar.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa 36 wa Baraza la
Utawala la ARIPO linaloratibu na kusimamia haki za Mali za wabunifu Barani
Afrika waksikiliza Hotuba mbalimbali zinazotolewa ndani ya Ukumbi wa Mkutano wa
Hoteli ya Zanzibar Beach Resort ilioko Mazizini Nje ya Mji wa
Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif
Sharif Hamad akitoa Hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano wa 36 wa Baraza la Utawala la
ARIPO linaloratibu na kusimamia haki za Mali za wabunifu Barani Afrika huko
katika Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort ilioko Mazizini Nje ya Mji wa
Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif
Sharif Hamad katikati akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi wa Mkutano wa 36
wa Baraza la Utawala la ARIPO linaloratibu na kusimamia haki za Mali za wabunifu
Barani Afrika huko katika Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort ilioko Mazizini Nje ya
Mji wa Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Post a Comment