Mwenyekiti wa CCM Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia
maelfu ya wanachama wa
chama hicho wa mkoa wa Dar es salaam
waliomwandalia hafla ya
kumpongeza leo Novemba 18, 2012
katika viwanja vya Mnazi
Mmoja jijini humo.
CCM) kimefanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya mnazi mmoja, ambapo
yamefanyika mapokezi ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na
Sekretarieti Mpya iliyoundwa baada ya Mkutano Mkuu wa Chama uliofanyika hivi
karibuni katika Mji wa Dodoma.
Mkutano huo ambao huko chini ya Mkoa wa Dar es salaam ambao unafanya sherehe za mapokezi ya viongozi wapya waliochaguliwa na kupitishwa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi kuwa safu mpya ya kukisimamia, kukiimarisha na kukiendeleza Chama hicho.
Mkutano huo ambao ulianza majira ya mchana wa saa nane na kumalizika saa kumi na mbili ulitawaliwa na matukio mbalimbali zikiwemo hotuba muhimu kutoka kwa viongozi hao wapya ambao walisisitiza kuwa sasa kikosi kamili kimetimia na yale ambayo yalikuwa yanawakwaza wanaCCM likiwemo suala la Rushwa katika chaguzi, upendeleo na kupanga safu ya uongozi kwa maslahi binafsi, Katibu Mkuu wa Chama Hicho alisisitiza juu ya Kuondoa kabisa tatizo la UBINAFSI ambalo ndio chanzo kikubwa cha makundi na migogoro katika chama hicho.

Post a Comment