MKALI wa movie za kibongo, Salma Jabu Nisha ni miongoni mwa warembo walioitwa kuinoigesha video ya wimbo mpya wa Diamond “Nataka kulewa”

Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichokuwepo katika hatua za uchukuaji picha , Nisha ameitendea haki video hiyo ambayo inatengenezwa na I View Media.


Post a Comment