Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Mhe. Mary Nagu (kulia)
akiteta jambo na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa NMB Bw. Kees Verbeek pamoja na
Meneja Mawasiliano wa NMB Bi. Josephine Kulwa katika hafla ya wawekezaji katika
Kilimo iliyofanyika jiji Dar es Salaam
Waziri wa
Kilimo, Chakula Ushirika na Masoko, Mhe. Christopher Chiza (kulia)
akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa NMB, Bw. Kees Verbeek
katika hafla hiyo.
Baadhi ya
wawekezaji katika kilimo wakibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa
wa NMB, Bw. Kees Verbeek
Bw. Pal
Stormorven wa YANA Tanzania akiteta jambo na Mwenyekiti wa SAGCOT Centre Ltd Bw.
Salum Shamte .
Mwekezaji
katika Kilimo (wa pili kushoto) Bw. Harish Bhatt akiwa katika picha ya pamoja na
Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa NMB, Bw. Kees Verbeek (kushoto) Maafisa wa benki
Nancy Asman (kati) na Ezekiel Ligate pamoja na Meneja Mawasiliano wa NMB Bi.
Josephine Kulwa.
Post a Comment