Mkurugenzi Masoko wa
Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), Epraim Mafuru akizungmza mara baada ya
uzinduzi wa bia mpya ya Tusker Lite wakati wa uzinduzi wake rasmi uliofanyika
mbele ya maafisa masoko wa makampuni mbalimbali nchini wakati wa tafrija maalum
ya ‘Markerts Night’ jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wafanyakazi wa
Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) wakifuatilia matukio mbalimbali wakati bia
mpya ya Tusker Lite ilipozinduliwa sanjari na usiku maalum wa maafisa masoko
jijini Dar es Salaam jana
Mkurugenzi wa Masoko wa
Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Epraim Mafuru (mwenye suti kushoto)
akimkabidhi zawadi ya Tusker Lite, Meneja bidhaa wa Push Mobile, Gonzoga
Rugambwa baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa shindano maalum la uchezaji
mziki lililofabnyika wakati wa uzinduzi wa bia ya Tusker Lite sanjari na usiku
wa maafisa masoko jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mkuu wa
Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), Steve Gannon akinyanyua juu bia mpya ya
Tusker Lite wakati wa uzinduzi wake rasmi uliofanyika mbele ya maafisa masoko wa
makampuni mbalimbali nchini wakati wa tafrija maalum ya ‘Markerts Night’ jijini
Dar es Salaam jana
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya bia ya Serengeti,Steve Gannon (wapili kulia) , akiwa pamoja
na wafanyakazi wa SBL wakigonganisha chupa zao za Tusker Lite kuashiria furaha
ya kuzinduliwa kwa bia hiyo mpy. Tusker Lite ilizinduliwa wakati wa tafrija
maalum ya ‘Markerts Night’ jijini Dar es Salaam jana.
Wafanyakazi
wa kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) wakiwa na mmoja wa washindi wa shindano
maalum la uchezaji mziki lililofanyika katika usiku maalum wa Maafisa masoko
jijini Dar es Salaam jana. Mshindi huyo wa pili alizawadiwa Glass maalum ya
Tusker Lite, bia mpya iliyozinduliwa usiku huo.
Mkurugenzi
wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Epraim Mafuru (mwenye suti
kushoto) akimkabidhi zawadi ya Tusker Lite, Meneja bidhaa wa Push Mobile,
Gonzoga Rugambwa baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa shindano maalum la
uchezaji mziki lililofabnyika wakati wa uzinduzi wa bia ya Tusker Lite sanjari
na usiku wa maafisa masoko jijini Dar es Salaam jana
Baadhi
ya wafanyakazi wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) wakifuatilia matukio
mbalimbali wakati bia mpya ya Tusker Lite ilipozinduliwa sanjari na usiku maalum
wa maafisa masoko jijini Dar es Salaam jana.B
aadhi ya
wafanyakazi wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) wakifuatilia matukio mbalimbali
wakati bia mpya ya Tusker Lite ilipozinduliwa sanjari na usiku maalum wa maafisa
masoko jijini Dar es Salaam jana.
Viongozi
mbalimbali wa Kampuni ya Bia ya Serengeti wakiwa ukumbini hapo.
Burudani
ilikuwepo kama kawaida
Ilikuwa
raha mwanzo mwisho.
Hii
ilikuwa burudani tosha maana jamaa walionesha vipaji vyao si
mchezo.
wadau
wa EATV nao walikamatia zawadi zao baada ya mwakilishi wa meza yao kufanya vyema
katika kulisakata dance
vimwana
hawa walipamba vilivyo uzinduzi huo.
hapa
sasa ni Kushow love kwa pamoja.
Post a Comment