Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji
Dk. Mary Nagu (katikati) akiongoza matembezi ya
hisani ya
kuchangia ujenzi wa
mabweni ya wanafuzi wa kike. Kulia ni
Mkurugenzi wa Mamlaka ya
Elimu Tanzania (TEA) Rosemary
Lulabuka (kulia) na
kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi
ya
Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Dk. Naomi
Katunzi.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Makongo wakishiriki
katika
matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa mambweni
ya
wasichana yaliyoanzania
Mlimani City na kuishia katika
viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jana. Jumla
ya sh.
Matembezi yakiwa
yameshika kasi
Baadhi ya wadau
walioshiriki matembezi hayo.
Mkurugenzi wa Mamlaka
ya Elimu Tanzania (TEA) Rosemary Lulabuka
Balozi wa kampeni ya
kuchangia ujenzi wa mabweni ya wanafunzi
wasichana
Balozi wa kampeni ya
kuchangia ujenzi wa mabweni ya wanafunzi
wasichana
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji
Naibu Waziri wa
Maliasilia na Utalii, Lazaro Nyarandu akiwa na mke wake ambaye pia ni balozi wa
kampeni ya kuchangia ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wasichani, Faraja Nyarandu
ambapo alichangia sh. milioni 10 kwa ajili ya kusadia ujenzi ya
wasichana
Naibu Waziri wa Maliasilia na Utalii, Lazaro
Nyarandu akipeana mkono na Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya
Elimu Tanzania (TEA), Dk. Naomi Katunzi baada ya kuchangia sh. milioni
10
Michango ikiendelea
kukusanywa kwa njia ya mitandao
Wadau
wakiselebuka
Barnabas Elius
akitumbuiza wakati wa hafla ya kuchangia ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa
kike
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Baobab (katikati)
akiimba pamoja na wanamuziki wa bendi ya THT wakati wa matembezi ya hisani ya
kuchangia ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa kike yaliyoanzia Mlimani City na
kumalizikia katika viwanja vya Chuo Kikuu jijini Dar es
Salaam.
Mwanafunzi wa shule ya
Sekondari Baobab, Khadija Nuru akisoma risala kwa niaba ya wanafunzi wenzake
ambao walichangia kiasi cha sh. milioni 1
Post a Comment