Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta
jijini Nairobi Kenya Jumatano Novemba 28, 2012 tayari kuhudhuria sherehe za
ufunguzi wa barabara ya Arusha-Namanga-Athi River pamoja na Mkutano wa Wakuu wa
nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utaozungumzia maendeleo ya
miundombinu. Kiongozi wa Jumuiya ya Waislamu wa Ismailia Mtukufu Aga Khan naye
alikuwepo hapo uwanjani
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika uzinduzi rasmi wa Barabara ya
Arusha – Namanga – Athi River yenye urefu wa kilometa
104.4 kwa upande wa Tanzania
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika
Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali waliofanikisha
ujenzi wa barabara
ya Arusha – Namanga – Athi River PICHA
NA IKULU
Post a Comment