wakimbizi wa Burundi waliokuwa wanarejea kutoka kambi ya
Mtabila iliyoko Kasulu-Kigoma baada ya kuanza kurejea kwa hiari baada
ya serikali ya Tanzania kuwavua hadhi ya ukimbizi.
Walipokelewa na Viongozi wa serikali ya Burundi iliyo chini ya chama
cha CNDD-FDD. Hapo ni wilaya ya Gihanga kwa kifaransa kama utaangalia
vizuri (COMMUNE DE GIHANGA, MKOA WA BUBANZA) kilomita kama 30 hivi
kutoka mji mkuu wa Bujumbura.


Post a Comment