Mkurugenzi
wa Utafiti wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akiwaelekeza jambo Washiriki wa
shindano la Miss East Afrika 2012.
Mmoja
wa wahariri wa Clouds TV, Anatoli Kabez akisalimia na Washiriki wa shindano la
Miss East Afrika 2012.
Mfanyakazi
wa Prime Time Promotions Ltd, Godliver Nicholaus akiwapa jarida la Kitangoma
linalochapishwa na kampuni hiyo, Washiriki wa shindano la Miss East Afrika
2012.
Mkuu
wa Vipindi wa Clouds FM, Sebastian Maganga akifafanua jambo kwa Washiriki wa
shindano la Miss East Afrika 2012.walipotembelea studio za Clouds
FM.

shindano la Miss East Afrika 2012 walipotembelea ndani ya studio za Clouds
TV.
Washiriki
wa shindano la Miss East Afrika 2012 wakiwa katika picha ya pamoja mapema leo
mchana walipotembelea kampuni ya Clouds Media Group, Mikocheni jijini
Dar.

Post a Comment