
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisisitiza changamoto mbele ya Kamanda mpya wa Brigedia Nyuki, Brigedia General Sharif Sheikh Othman zinazovikabili vikosi vya ulinzi nchini ambapo baadhi ya kambi zao zimekuwa na migogoro ya ardhi na wananchi waliojirani na maeneo hayo.

Makamu wa Pili mwa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Kamanda Mpya wa Brigedia Nyuki Zanzibar Brigedia General Sharif Sheikh Othman ambae amefika kujitambulisha rasmi hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.Picha na Othman Khamis Ame-Ofisi Ya Makamu wa Pili mwa Rais wa Zanzibar


Post a Comment