Baadhi ya viongozi wa dini wakiwa mkutano baina yao na
uongozi wa CCM Mkoa Singida
Na: Elisante John
Singida.
Akijibu hoja hizo, mwenyekiti huyo
alisema kuwa atajitahidi kuzifikisha katika mamlaka husika, kwa ajili ya
kupatiwa ufumbuzi, huku akiwataka waendelee kuwa wavumilivu wakati kero hizo
zikishughulikiwa
Katibu CCM Mkoa Naomi Kapambala akiomba
ushirikiano kati ya CCM na viongozi wa madhehebu ya
dini
Mmoja wa viongozi wa dini, Omari Hamza akitoa
mchango wake wa mawazo katika kukijenga Chama kwa ajili ya maendeleo ya mkoa
Mwenyekiti CCM Mkoa Singida, Mgana Msindai
akizungumza na viongozi wa dini
Shekhe Wilaya Singida, Issah Simba akieleza
matatizo mbalimbali yanayoikabili jamii ya Singida mktk mkutano baina ya
viongozi
VIONGOZI wa madhehebu ya dini wameombwa kuhubiri
waumini wao upendo na amani, ili kuiepusha nchi kuingia
kwenye.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa Singida Mgana Msindai,
ametoa wito huo kwenye kutano baina yake na viongozi hao uliofanyika jengo la
CCM Mkoa.
Alisema, baadhi ya wanasiasa wanaonekana kutokuwa nia njema na nchi hii, kutokana na kauli zao majukwaani dhidi ya uchochezi dhahiri wanaofanya mbele ya jamii wanayoiongoza.
Alisema kutokana na siasa chafu zinazofanywa na baadhi ya vyama vya siasa, inaweza kusababisha vurugu na hivyo kuwepo kwa uvunjifu wa amani.
Mkutano huo ni mwendelezo wa kupokea kero na ushauri mbalimbali kutoka kwa jamii ya wakazi wa Singida mjini, kabla ya kuendelea na mikutano kama huo, kwenye wilaya zingine za mkoa huo.

Kutokana na hali hiyo, mwenyekiti huyo aliwatumia
fursa hiyo kuomba ushirikiano baina ya CCM na madhehebu ya dini katika
kukabiliana na tatizo hilo, pia kushirikiana na serikali ya CCM kuwaondolea
wananchi kero zinazowakabili.
Hata hivyo baadhi ya viongozi wa dini akiwemo
shekhe wa Singida mjini Issah Simba, Musa Mpahi,Jackson Mwankolo na Daudi Mpinga
walimwomba Msindai atumie mamlaka aliyonayo katika kuwaondolea wananchi kero
zinazowakabili.
Baadhi ya kero hizo ni serikali kuangalioa
uwezekano wa wananchi kuingizwa katika mfumo wa bima ya afya kwa ajili kunufaika
na huduma za tiba, kuboresha sekta ya elimu na afya, pia kupeleka huduma ya maji
safi na umeme katika kijiji cha Mwankoko.

Post a Comment