Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo
Filikunjombe (kushoto) akiwa na diwani wa Ludewa Bw Mpambalyoto wakila kiapo
Viongozi wa CCM mkoa
Njombe wakishirikiana na makamu mwenyekiti wa CCM Taifa Phili Mangula ( wa pili
kulia ) kuwaongoza wanachama wapya wa CCM zaidi ya 600 waliojiunga na CCM jana
wakati wa mapokezi ya makamu huyo wa kwanza kuli ni mbunge wa jimbo la Njombe
kusini na spika wa bunge Anne Makinda wa tatu kutoka kulia ni mwenyekiti wa
CCM mkoa wa Njombe Deo Sanga ambae ni mbunge wa jimbo la Njombe kasikazin na
anayefuatia ni katibu wa CCM mkoa wa Njombe Hosea Mpangike
Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Philip Mangula akishuka jukwaaani baada ya kukabidhiwa dhana za kijadi na wazee wa mkoa wa Njombe kama nyenzo za kupambana na vitendo vya ufisadi ndani ya CCM ,Mangula alikabidhiwa dhana hizo katika mkutano mapokezi yake uliofanyika mjini Njombe (picha na Francis Godwin)
Magula akiwa amebeba zawdi alizopewa na wazee Njombe
Mangula akikabidhiwa vitendea kazi na mzee wa Njombe
Umati wa wananchi waliofika kumpokea
Kiongozi wa dini
akimuombea na kumpa maneno ya hekima
Mangula na spika Makinda wakiwa wameinamisha vichwa wakati wa maaombi maalum kutoka madhehebu yote ya dini Njombe
Kiapo kwa wanachama wapya wa CCM
Mapokezi ya Mangula Njombe yatisha
Na Francis Godwin, Njombe

MBUNGE wa jimbo la Ludewa mkoani Njombe Deo
Filikunjombe awakuna wapiga kura wa jimbo la Njombe Kaskazini Linaloongozwa na
mbunge wake Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe Deo Sanga Kwa kuwalipua watendaji
wabovu serikalini ,mbele ya makamu mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi ( CCM)
Tanzania bara Philip Mangula.
Filikunjombe ambea alipewa nafasi ya kusalimia katika mkutano huo mkubwa wa mapokezi ya Mangula mkoani Njombe alisema kuwa masikitiko ya wananchi juu ya serikali ya CCM yanatokana na baadhi ya viongozi wabovu ndani ya Chama na serikalini ambao wamekuwa wakifanya kazi chini ya kiwango na kupelekea wananchi kukichafua Chama tawala.
Hivyo alisema kuwa imani ya wana CCM kwa safu ya sasa chini ya mwenyekiti Dkt Jakaya Kikwete katibu mkuu Abdalaman Kinana na makamu mwenyekiti wa bara Mangula na makamu wake wa Zanzibar Dkt Ally Mohamed Shein na viongozi wengine ndani ya CCM ni matumaini mapya kwa wana CCM na tishio kwa vyama vya upinzani.
" Ndugu zangu wananchi wa Makambako na mkoa wa Njombe Chama chetu CCM ni Chama kizuri sana na safu hii ya sasa chini ya Rais Kikwete ,Kinana na Mangula ni safu ya uhakika na itakiwezesha Chama chetu kuendelea kuaminiwa zaidi na watanzania ...ila tatizo ni viongozi wachache wa serikali wasiowajibika katika nafasi zao"kauli iliyowakuna wananchi na kushindwa kujizuia kushangilia huku wakiimba wewe ni Jembe .
Hata hivyo Filikunjombe alisema kuwa ili Chama kuendelea kupendwa na akina Mangula na Kinana wanapaswa kusaidiwa na watanzania wote kwa kuombewa zaidi ili kuendelea kuifanya kazi hiyo bila woga ndani ya chama.
Kwa Upande wake Mangula mbali ya kusifu mapokezi makubwa ya kihistoria Katika mji wa Makambako na Njombe mkoani Njombe aliweza kutoa ya Moyoni kuhusu Kati yake na Rais Jakaya Kikwete kwa Madai kuwa yeye alikuwa hajui chochote juu ya uteuzi wake na kuwa alisitaajabu kupokea simu ya Kikwete kuhusu kusudio la uteuzi wake.
" Kweli Mimi nilikwenda Dodoma katika mkutano mkuu wa CCM Kama mualikwa ila Nikiwa Hotelini nilipokea simu ya mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Kikwete akiomba kuniteua kuwa makamu mwenyekiti na baada ya kwenda Ukumbini wajumbe wote walinipa kura zote za ndio...kweli namshukuru sana mwenyekiti wangu na wanachama wote na sasa ni kazi zaidi na sitawaangusha"
Hata hivyo aliwataka wana CCM kufanya vikao bila kuchota na kuwa wasizingizie kukosa ajenda kwani hata kukosa ajenda ndani ya CCM ni ajenda Kukosa agenda pia ni agenda ndani ya CCM pia yaweza kuwa ajenda.
Aidha amehimiza nidhamu na taratibu ndani ya CCM kuendelea kuzingatiwa ili kukiwezesha Chama kuwa na amani na kuwa iwapo taratibu ndani ya Chama hazitazingatiwa upo uwezekano wa Amani ndani ya nchi kutoweka.
Alisema kuwa haitapendeza kuona Tanzania inafika mahali inaendeshwa bila Chama iwapo tutaruhusu wasiopenda Amani kuendelea kuvuruga Amani yetu iliyopo.
Mangula alisema kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa Katika katika utawala bora na kufanya mambo mengi zaidi ya kimaendeleo na iwapo wapo watu wanaosema CCM haijafanya lolote toka ilipoingia madarakani wanakionea Chama kwani maendeleo ambayo jamii inanufaika nayo sasa ni matunda ya CCM.
Awataka Vijana kupunguza jazba kwa kuwa kukubali kutumikishwa na watu wasiopenda amani ili kuvuruga amani kuwa iwapo vijana watashindwa kuepuka kutumika kwa kuvuruga amani Taifa litakwenda pabaya.
Akimkaribisha Mangula Mkoani Njombe Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe Deo Sanga alisema kuwa CCM mkoani Njombe kimeendelea kutekeleza vema ilani ya uchaguzi pamoja na kutekeleza ahadi zake kwa wananchi.
Sang a alisema kuwa katika mji wa Makambako CCM iliahidi maji ,huduma za Afya kwa maana ya kuwa na Hospitali ya wilaya pamoja na kuwawezesha wananchi wa pembezoni kuwa na huduma ya umeme na zoezi hilo linaendelea na tayari naibu waziri wa nishati na Madini amepata kufika mjini Makambako Jana na kutembelea mradi huo.
Katibu wa CCM mkoa wa Njombe Hosea Mpangike alisema kuwa mbali ya wanachama wapya zaidi ya 1000 kujiunga na Chama hicho ila lipo kindi kubwa la wapinzani Kutoka Chadema ambao wanataka kujiunga na CCM ila wanaandaliwa mpango maalum wa kupokelewa.
PICHA ZAIDI YA ZIARA YA MANGULA MKUTANO
Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangulla wa pili kushoto akiwa na viongozi wa mkoa wa Njombe leo baada ya kuwasili uwanja wa mikutano wa Makambako

katibu mwenezi wa wilaya ya Mufindi Daud Yassin Kushoto akiangana na makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Philip Mangula mchana huu baada ya kufika mpakani mwa Iringa na Njombe |
Nyimbo za mapokezi ya Mangula |
Makada wa CCM mjini Makambako |
Bw Deo Mnyika Kushoto akiteta jambo na mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe katika uwanja wa mkutano mjini Makambako |
Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangulla wa pili kushoto akiwa na viongozi wa mkoa wa Njombe leo baada ya kuwasili uwanja wa mikutano wa Makambako
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe (kulia) akimkaribisha makamu mwenyekiti Tazania bara Bw Philip Mangula leo mkoani Njombe |
Makamu mwenyekiti wa
CCM bara Bw Philip Mangula akiwahutubia wakazi wa Makambako mkoa wa Njombe
leo
Mkuu wa wilaya ya Njombe Sarah Dumba kushoto akimkabidhi zawadi zilizotolewa na wakuu wa wilaya nne za mkoa wa Njombe makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula |
Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula akiwahutubia wakazi wa mji wa Makambako mkoa wa Njombe |
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwasalimia wananchi katika mkutano wa Mangula huku akitoa salam nzito zilizowakuna wananchi juu ya ubovu wa baadhi ya watendaji wa serikali |
Mbunge wa Jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akitoa salam zake mbele ya katibu mkuu Philp Mangula huku mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe Deo Sanga akimsikiliza |
Post a Comment