
Ripoti ya utafiti iliyotolewa siku ya Jumapili imeonya kuwa dunia inaweza kuwa inaelekea juu ya kiwango cha nyuzi joto 5 kufikia mwaka 2100 kiwango ambacho ni mara mbili ya kikomo cha nyuzi 2 ambacho Umoja wa Mataifa unalenga kukifikia.
Na ripoti ya uchumi iliyotolewa Jumanne ya tarehe 4 imesema hata shabaha ya uchafuzi wa mazingira wa kiwango cha asilimia 0 kwa mataifa yaliyoendelea kufikia mwaka 2030 haitasitisha mabadiliko mabaya ya tabianchi, na mataifa maskini pia yanapaswa kutekeleza wajibu wao.
Post a Comment