Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mmiliki na
Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short
(kushoto kwa Rais), Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband (kulia
kwake), Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Kagasheki, Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo, Dr Fenella Mukangara, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim pamoja na maafisa wa Bodi ya
Utalii bada y mkutano na Rais Ikulu jijijni Dar es salam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea jezi toka
kwa mmiliki na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw.
Ellis Short huku Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband na
Mkurugenzi wa Masoko wa klabu hiyo Bw. John Farnan wakiangalia bada ya mkutano
wa na Rais Ikulu jijijni Dar es salam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na
Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short huku
Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband na Mkurugenzi wa Masoko wa
klabu hiyo Bw. John Farnan Ikulu jijijni Dar es salam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa
Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short, Makamu mwenyekiti
wa Klabu hiyo Bw. David Milliband, Mkurugenzi wa Masoko wa klabu hiyo Bw. John
Farnan, Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Kagasheki, Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo, Dr Fenella Mukangara, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim pamoja na maafisa wa Bodi ya
Utalii bada y mkutano na Rais Ikulu jijijni Dar es salam leo.
Post a Comment