Timu ya
Tanzania
Tanzania
yaendeleza ubabe wa kwa timu za mabunge ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki
baada ya timu ya mpira wa kikapu wananwake kuinyanyasa Kenya Bunge Sports Club
kwa mabao 51-25. Wakati huohuo, timu ya wanaume imeedelea kutoa adhabu kali leo
ikiwa ni zamu ya Rwanda ambapo hadi kipenga cha mwisho Tanzania 6 Rwanda 0. Jana
Kenya ilibamizwa bao 5-0Timu ya Kenya
Tanzania Bunge
Sc
Tanzania Bunge
Sports Club Football imefanya maajabu katika uwanja wa
Nyayo jijini Nairobi jana kwa kuwabamizwa wenyeji wao timu ya Kenya Bunge Sports
Club Football mabao 5-0e katika michezo ya mabunge ya nchi za Jumuiya ya Afrika
Mashariki yanayoendelea jijini Nairobi. Mashindano hayo yaliyofunguliwa rasmi
juzi tarehe 7 Disemba na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mh. Margreth
Natongo
Katika
mashindano haya ambayo hufanyika kila mwaka huyakutanisha mabunge ya nchi za
Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda. Waratibu wa michezo hii ni Jumuiya
pamoja na Bunge la Afrika Mashariki. Kwa mwaka huu Burundi
haikushiriki.Chini
ya ukufunzi wa Naibu Waziri (TAMISEMI) Mhe. Kasim Majaliwa (Mb) .na uongozi wa
Mhe. Idd Azzan (Mb) mabao hayo yalifungwa na Mhe Amos Makala (Mb), Yusuf Soka
(2), Mark Tanda na Mhe. Joshua Nassari. (Na Prosper Minja)
Post a Comment