Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Fedha na Uchumi wa Rwanda John Rwangombwa (katikati) na Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Dk.t Enos Bukuku katika mkutano wa Kimataifa wa Uchumi Mjini Kigali.