Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AJALI MBAYA YAJERUHI MMOJA POSTA JIJINI DAR ES SALAAM


Baadhi ya askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ, wakimshusha mwenzao baada ya kujigonga kwenye mti na kujeruhiwa vibaya na kupasuka kichwa wakati akiwa kwenye Lori lenye namba za usajili 5514 JW 07 aina ya IVECO kandokando ya barabara ya Samora jirani na Idara ya Habari (Maelezo) jijini Dar es Salaam leo jio.
 
Baadhi ya wasamalia wema wakimpeleka hospitali majeruhi huyo.
 
Majeruhi akiingizwa katika Bajaji tayari kwa ajili ya kupelekwa hospitali.
Lori aina ya IVECO ambalo majeruhi huyo alikuwa amepanda.
 
 
Hii ndio Barabara ya Samora ilipotokea ajali hiyo.
Hapa ndipo alipojigonga majeruhi na kupasuka kichwa

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top