Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TENGA BADO ANANAFASI YA KUGOMBEA URAIS TFF

 


KAMATI ya uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imesema kwamba hakuna kipengele cha ukomo wa uongozi kwenye katika ya Shirikisho hilo.
Hatua hiyo inafuatia kuwepo kwa taarifa kwamba rais wa sasa wa TFF Leodger Tenga (Pichani) hapaswi kuwania tena uongozi kutokana na kuongoza kwa vipindi viwili.Uchaguzi wa Shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika Februari 24 mwaka huu jijini Dar es Salaam, huzu zoezi la utoaji fomu likitatarjiwa kuanza keshokutwa.
Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya TFF, Deogratius Lyatto amesema jana kwamba kigezo cha kutogombea ni umri wa chini ya miaka 25 na zaidi ya miaka 75.
Nafasi zitakazowqaniwa ni pamoja na Rais, Makamu wa Raisi na wajumbe 13 wa kamati ya Utendaji.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top