|
Wananchi wa Kijiji cha Karunga kata ya Heru
Juu,Kasulu wakiwa na nyuso za furaha wakati wa kumpokea Katibu wa NEC, Itikadi
na Uenezi, Ndugu Nape Nnauye. |
|
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi ,Ndugu Nape
Nnauye akipokelewa na Mjumbe wa NEC wilaya ya Kasulu,Daniel Nswanzigwanko pamoja
na viongozi wengine wa chama wakati akiwasili kijiji cha Karunga,kata ya Heru
juu. |
|
Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye
akiwasalimu wakazi wa Kjiji cha Karunga,kata ya Heru Juu kabla ya kwenda Kasulu
mjini ambako alifanya mkutano mkubwa wa hadhara.
|
|
Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Ndugu Daniel Makanga
akiwaeleza wananchi hatua zilizochukuliwa kuboresha ulinzi na usalama wa eneo
hilo,na pia kueleza lini kutapatikana maji safi na salama kwa wananchi wa eneo
hilo.
|
|
Mjumbe wa NEC Wilaya ya Kasulu,Daniel
Nswanzigwanko akihutubia wananchi wa Kasulu mjini tarehe
29/1/2013
|
|
Band ya Vijana wa CCM Kasulu mjini ikitumbuiza
wakati wa mkutano wa hadhara . |
|
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akipokea baadhi
ya kadi za wanachama wa chama pinzani walioamua kurudi
CCM |
|
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akihutubia wananchi
wa Kasulu mjini ,Katibu wa NEC aliwaambia wananchi kuwa muda wa watendaji wa
serikali za viji kujifanya muungu watu umekwisha na pia maendeleo yanakwamishwa
sana na wapinzani maana kila jambo jema wana
pinga.
|
on Thursday, January 31, 2013
Post a Comment