Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

REAL MADRID V/S BARCELONA 1-1, SI MESSI SI RONALDO

 

CESC FABREGAS jana usiku aliingia kwenye orodha ya wafungaji katika mchezo wa raundi ya kwanza Kombe la Mfalme wakati alipofungia Barcelona bao la kuongoza katika dakika ya 50 kupitia pasi ya Lionel Messi.
FAB-ULOUS ENTERTAINMENT ... Cesc Fabregas celebrates giving Barcelona the lead
Lakini beki kinda wa kifaransa, Raphael Varane aliyeonyesha kiwango kikubwa, aliisawazishia Real Madriad katika dakika ya 85.
RISING STAR ... Raphael Varane (centre) scored and was fantastic throughout
Wafungaji wanaoongoza katika timu hizo, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo walijikuta wakitoka uwanjani bila goli.
Ronaldo alicheza vizuri na ilikuwa ni bahati mbaya kwake kutoka mtupu.
Kiungo wa Barcelona, Xavi aligonga mwamba katika hatua za mwanzo na pia alipiga shuti lililokolewa na beki wa zamani wa Chelsea, Ricardo Carvalho kabla mpira haujaingia wavuni.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top