Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HAWA GHASIA ASEMA MAAFISA UTUMISHI WA HALAMASHAURI NYINGI HAPA NCHINI WAMEKUWA KERO KWA WATUMISHI WENZAO MAANA HAWAWATENDEI HAKI WENZAO


MHESHIMIWA HAWA ABDUL
RAHMANI GHASIA (MB), WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI
MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA 

AKIZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA AMESEMA KATIKA ZIARA YAKE HAPA MKOANI MBEYA AMEGUNDUA KERO KUBWA KWA WATUMISHI HAO NI MAAFISA UTUMISHI WAO KUTO WATENDEA HAKI WALA KUWASIKILIZA SHIDA ZAO KWANI WAMEKUWA NI MIUNGU MTU AMEWATAKA MAAFISA UTUMISHA HAO KUFANYA KAZI KWA MUJIBU WA SHERIA  NA HATA SIKA KUMFUKUZA KAZI  AFISA UTUMISHI YEYOTE ATAKAE ZEMBEA KATIKA KAZI ZAKE
MKUU WA  MKOA MBEYA AKIMKARISHA WAZIRI HAWA GHASIA AONGEE NA WAFANYAKAZI WA JIJI LA MBEYA
MSTAHIKI WA JIJI LA MBEYA ATANATH KAPUNGA AKIMSHUKURU WAZIRI GHASIA KWA HOTUBA YAKE NZURI NA KUWA WATAIFANYIKA KAZI 

BAADHI YA WATUMISHI WA JIJI LA MBEYA WAKIMSIKILIZA WAZIRI GHASIA

MWESHIMIWA MBUNGE MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI ALIKUWEPO KATIKA KIKAO HICHO
WAFANYAKAZI WA JIJI LA MBEYA WALIMZAWADIA ZAWADI WAZIRI GHASIANA MBEYA YETU

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top