
MLINZI wa zamani wa klabu
ya Jogoo ya Morogoro
Yahaya
Belin
amefariki dunia mkoani
hapa.
Katibu mkuu wa chama cha
soka mkoa wa Morogoro (MRFA)
Hamis Semkwa amedhibitisha
kutokea kwa kifo chicho cha
Mlinzi wa timu hiyo
iliyokuwa na maskani yao
makuu Boma Road miaka miaka
20 iliyopita.
Msiba upo nyumba Kidongo
Chekundu Manispaa ya Morogoro.
BELIN NDIYE ALIYEIBUA
KIPAJI CHA MLINZI WA KLABU YA
SIMBA, SHOMARI KAPOMBE NA
KUKIENDELEZA KATIKA
TIMU YA VIJANA YA MORO KIDS
CHINI YA TAASISI YA
KUENDELEZA VIPAJI VYA MORO
YOUTH.
KWA TAARIFA ZAIDI
ENDELEA KUTUFUATILIA KATIKA
BLOG YENU KADRI
TUTAKAVYOZIPATA HABARI.
UONGOZI WA BLOG:NDGSHILATU
INAUNGANA
NA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI
KATIKA
KUOMBOLEZA KIFO CHA
MPENDWA
WETU YAHAYA
BELIN.
on Saturday, January 5, 2013


Post a Comment