|
Amie
Neely (38) alikamatwa akiwa anafanya mapenzi na mwanafunzi wake huyo mwenye umri
wa miaka 16. Inasemekana kuwa mwalimu huyo alikuwa akimtumia sms mara kibao na
kumtege zaidi ya mara nne mpaka kijana huyo akaingia
katika mtego wake na kuanza mahusiano yao.Inaelezwa kuwa walikuwa wakikutana
mara kibao na kufanya mapenzi nyumbani kwa mwalimu huyo pindi mumewe anapokuwa
safarini. Kukamatwa kwake kumesababishwa na Fumanizi la Mume
wake ambaye alikuwa anafatilia nyendo zake, kupitia GPS ya simu yake aliweza
kubaini alipo Mkewe na ndipo alipofika eneo la tukio akamkuta kabananishwa na
kijana huyo. Kwa sasa mwalimu huyo yupo nje kwa dhamana ya Shilingi Million
25 za kitanzania au $ 15,000/= Na kesi yake ipo mahakamani |
on Saturday, January 12, 2013
Post a Comment