Kupitia mtandao
wa kijamii wa picha wa Instagram, Wema Sepetu ameshare picha za kwanza
zinazoonesha logo ya kampuni yake iitwayo Endless Fame Films. “Nawaomba mzidi
niombea nifike nnapotaka endless fame ifike… Inshallah,” ameandika mrembo huyo.
on Saturday, January 12, 2013
Post a Comment