Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MARTIN SHIGELA AKAGUA UJENZI WA SOKO NA MAABARA YA KISASA KATIKA SHULE YA BITALE

10

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM UVCCM Bw. Martin Shigela akijenga msingi wa ngazi katika soko la Bitale wakati alipotembelea na kukagua ujenzi wa sok0 hilo lililopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Vijijini,
Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Ndugu Abdurahman Kinana wapo wako katika mkoa wa Kigoma ili kuamgalia utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi na sherehe za miaka 36 ya chama cha Mapinduzi, zitakazofanyika Februari 3 katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani humo
1Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM UVCCM Bw. Martin Shigela akipokelewa kwa maandamano mara baada ya kuwasili katika kata ya Bitale mkoani Kigoma

2Kikundi cha ngoma cha kijiji cha Bitaeli kikitumbuzia na kutoa burudani, huku Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM UVCCM Bw. Martin Shigela
3Wananchi wakiwa katika mkutano mara baada ya kuwasili kijijini hapo.
4Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM UVCCM Bw. Martin Shigela akiongea na baadhi ya wana Bitale kabla ya kabla ya kuanza kutembelea miradi na kuona shughuli za maendeleo.
8Soko jipya linalojengwa katika Kijiji cha Bitale nje kidogo ya mji wa Kigoma likiwa katika hatua za mwisho kukamilika.
13Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM UVCCM Bw. Martin Shigela akizungumza na wanafunzi wa kidato cha nne wakati alipotembelea maabara ya kisasa iliyojengwa katika shule ya Sekondari ya Bitale
14Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM UVCCM Bw. Martin Shigela akikagua ofisi ya Tawi la Simbo Wilaya ya Kigoma Vijijini .
15Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM UVCCM Bw. Martin Shigela akielekea katika ofisi ya Kata ya Simbo na ujumbe wa CCM kutoka mkoani Kigoma pamoja na wenyeji wao ili kukagua utekelezaji wa ujenzi huo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top