Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mkutano wa Mafunzo ya Viwango vya Kimataifa vya Ukaguzi wa ndani wafanyika Dodoma

 

Mkaguzi Mkuu wa ndani wa Serikali Msaidizi, Serikali za mitaa Bw. Constantine Mashoko akifungua rasmi mkutano wa mafunzo ya viwango vya kimataifa vya ukaguzi wa ndani.
Wakaguzi wa ndani kutoka kanda ya kati wakisikiliza kwa makini hotuba ya ufunguzi
 
Mshauri mwelekezi kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe Bw. Aloyce Maziku akitoa mafunzo ya viwango vya kimataifa vya ukaguzi wa ndani kwa wakaguzi wa ndani.
Kutoka kushoto ni Afisa wa Fedha Mwandamizi Bi. Vicky Jengo, Katibu Muhtasi Bi. Janet Mwamanga ambao pia ni washiriki katika mkutano huo.
Kutoka kushoto ni Mkaguzi wa Ndani Mkuu Msaidizi wa serikali upande wa Bajeti na mishahara Bw. Stanslaus Mpembe, Mkaguzi Mkuu wa ndani wa Serikali Msaidizi Bw. Constantine Mashoko na Mkuu wa Hazina Ndogo Dodoma Bw. Evance Asenga wakibadilishana mawazo.
Baadhi ya wakaguzi wa ndani wa serikali kutoka halmashauri za kanda ya kati wakiwa katika picha ya pamoja. (Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – Wizara ya Fedha).
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top