Mke wa Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisoma hotuba
yake wakati alipokuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya Kidato cha Sita kwa
Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya Tambaza. Mahafali hayo
yamefanyika leo, katika shule hiyo ya Tambaza jijini Dar es Salaam. Katika
hotuba yake Mama Asha amewahasa vijana hususan wanafunzi hao waliohitimu masomo
kutokukubali kutumika na watu wenye maslahi binafsi na kujikuwa wakisababisha
uvunjifu wa amani. Aidha amewataka kutojihusisha na makundi yanayochochea
uvunjifu wa amani bila kujitambua wafanyalo, badala yake amewambo kuwa wakipima
kila wanaloambiwa kuwa linamaslahi na dini yao ama maslahi kwa jamii na taifa
kwa ujumla.
Mke wa Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti mmoja
wa wahitimu wa Kidato cha Sita, Latifah Nuhu, wakati wa sherehe za mahafali ya
Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya
Tambaza. Mahafali hayo yamefanyika leo, katika shule hiyo ya Tambaza jijini Dar
es Salaam.
Mke wa Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti mmoja
wa wahitimu wa Kidato cha Sita, Mwinga Gwao, wakati wa sherehe za mahafali ya
Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya
Tambaza. Mahafali hayo yamefanyika leo, katika shule hiyo ya Tambaza jijini Dar
es Salaam.
Mke wa Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi zawadi mhitimu wa
Kidato cha Sita, Zuhura Azmin, kwa kuwa mmoja kati ya waliofanikisha sherehe za
mahafali ya Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya
Sekondari ya Tambaza. Mahafali hayo yamefanyika leo, katika shule hiyo ya
Tambaza jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wahitimu wa kike
wakiwa katika mahafali hayo leo.
Baadhi ya wahitimu wa
kiume, wakiwa katika mahafali hayo leo.
Mke wa Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti mmoja
wa wahitimu wa Kidato cha Sita, Khadija Hassan, wakati wa sherehe za mahafali ya
Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya
Tambaza. Mahafali hayo yamefanyika leo, katika shule hiyo ya Tambaza jijini Dar
es Salaam.
Dua baada ya shughuli hiyo
kukamilika.
Mama Asha, akiwa katika
picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya wanafunzi wahitimu wa kidato cha
sita, baada ya zoezi la kugawa vyeti kwa wahitimu.

Post a Comment