MWIGULU NCHEMBA AKIWA AMEKUSANYA KADI ZA CHADEMA
MEZANI, Baada ya kupiga mkutano pale kinondoni na vijana kurudisha kadi za CDM
na kuchukua za CHAMA CHA MAPINDUZI
hapa aikiendelea kupiga mkutano na vijana
wakiendelea kurudisha kadi za Chadema
haya yalikuwa maneno yake baada ya
mkutano
"Nawashukuru sana wananchi wa Kinondoni kwa mapokezi mazuri na
kuhudhuria kwa wingi katika mkutano wa hadhara leo. Pamoja tuijenge nchi yetu na
tudumishe Amani, Mshikamano na Utulivu. KIDUMU CHAMA CHA
MAPINDUZI"
Post a Comment