Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Gregory Teu
(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi
cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), David Mgwassa kuhusu picha ya watoto wa
wakulima wa zao la zabibu wanaosomeshwa na kiwanda hicho, alipotembelea kuona
utendaji wa kiwanda hicho, Dar es Salaam juzi.
Ofisa Biashara wa Wizara ya Viwanda na Biashara,
Athuman Mkungu akiangalia bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na kiwanda cha
Konyagi.
Naibu Waziri, Teu (katikati) akitembelea kiwanda cha Konyagi |
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Gregory Teu
(katikati) akipata maelezo kuhusu uzalishaji wa bidhaa
Wafanyakazi wa kiwanda cha Konyagi wakifungasha viroba
vya konyagi kiwandani hapo
Mtaalamu wa Upishi wa Bia, Kelvin Nkya akimuonesha
kompyuta inatumiwa kupikia bia katika kiwanda cha TBL Dar es
Salaam.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Gregory Teu
(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL), Martine Calvin (katikati) jinsi bia inavyopikwa kitaalamu alipotembelea
kiwanda hicho, Dar es Salaam juzi.
Meneja Uhusiano Mambo ya Nje wa TBL, Emma Oriyo
akizungumza wakati wa kumkaribisha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Gregory
Teu
Mena wa Kiwanda cha Bia cha TBL, Dar es Salaam,
Martine Calvin (kulia) akimpatia zawadi Naibu Waziri
Calvin akimpatia zawadi msaidizi wa waziri, Gregory
Teu
Naibu Waziri Gregory Teu (wa tano kulia) akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa TBL
Mkurugenzi wa Mauzo wa Kiwanda cha Konyagi cha TDL,
Joseph Chibehe (kulia) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri,
Teu.
Mkurugenzi wa Miradi Maalumu wa TBL, Phocus Lasway akielezea mafanikio na changamoto zinazoikabili kampuni hiyo. |
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Viwanda wa Wizara ya
Viwanda na Biashara, Kilabuko akizungumza na wafanyakazi wa TBL walipomaliza
ziara.. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Post a Comment