|
Afisa Mwandamizi wa NSSF Kahama,
Lusajo Enest (kushoto), akitoa elimu kuhusu mafao mbalimbali
yanayotolewa na mfuko huo kwa wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu wa
Bulyanhulu wakati wa Siku ya Wanafamilia.
|
|
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Taifa (NSSF) Kahama, Omari Mziya akizungumza kabla ya kukabidhi hundi.
|
|
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa
Hifadhi ya Taifa (NSSF) Kahama, Omari Mziya (kulia), akikabidhi hundi ya
Milioni 2/- kwa Meneja Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa African Barrick Gold
(ABG) Bulyanhulu, Dennis Hoof ikiwa ni moja ya udhamini ya mfuko huo
katika kufanikisha Siku ya Wanafamilia ya mgodi huo, iliyofanyika
mgodini wilayani Kahama juzi. NSSF pia ilitoa jumla ya T-shirts 200.
|
on Monday, January 14, 2013
Post a Comment