Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Habari, Wahariri na Wamiliki wa Vyombo vya Habari (hawapo pichani) kwenye makazi yake jijini Dar es salaam Januari 25, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Habari, Wamiliki na Wahariri wa Vyombo vya Habari wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao, kwenye makazi yake, Oysterbay jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakiagana na Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Reginald Mengi baada ya mazungumzo kati yake na Wajumbe wa Baraza la Habari, Wamiliki wa Vyombo vya Habari na Wahariri kwenye makazi yake , Oysterbay jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wahariri, Nevil Meena wa Mwananchi Communications na Abslom Kibanda wa New Habari wakati alipokutana na Wajumbe wa Baraza la habari, Wahariri na Wamiliki wa Vyombo vya habari, kwenye Mkazi yake jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Prince Bagenda wakati alipokutana na Wajumbe wa Baraza la Habari, Wamiliki na Wahariri wa Vyombo vya Babari kwenye makazi yake, Oysterbay jijini Dar es salaam.