|
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Amos Makala (kulia) akizungumza na
Waandishi wa Habari, ofisini kwake katikati ya Jiji leo, kuhusu kupunguza makato
ya mapato ya Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kukubali kulipa kodi za mishahara
wa makocha wa timu ya taifa. Kulia ni Katibu wa Shirikisho la Soka Tanzania
(TFF), Angetile
Osiah.
|
|
Katibu
wa TFF, Angetile Osiah akisaini hati ya makubaliano kuhusu matumizi ya Uwanja wa
Taifa na mgawanyo wa
mapato.
|
|
Mkurugenzi
wa Michezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo, Mama Juliana Yasoda,
akisaini hati ya makubaliano kuhusu matumizi ya Uwanja wa Taifa na mgawanyo wa
mapato.
|
|
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kamati ya Ligi Kuu, Silas Mwakibinga akisaini hati ya
makubaliano kuhusu matumizi ya Uwanja wa Taifa na mgawanyo wa mapato.source bin
zubeiry
|
on Friday, January 25, 2013
Post a Comment