Mshambuliaji wa Simba,
Mrisho Ngassa (kulia) akiwatoka mabeki wa African Lyon, wakati wa mchezo wa Ligi
Kuu ya Vodacom mzunguko wa pili ulioanza leo. Mchezo huo umechezwa katika Uwanja
wa Taifa jijini Dar es Salaam, ambapo Simba imeshinda kwa mabao
3-1.
Matokeo mengine ya mechi za
leo ni kama ifuatavyo, Azam Fc 3- Kagera Sugar 1, Ruvu Shooting 1- JKT 0, Orjolo
3-Toto African 1, Polisi Moro 1- Mtibwa Sugar 0, Coast Union 3-Mgambo Shooting
1.
Mrisho Ngassa, akiinuliwa
na wenzake nyavuni baada ya kutupia bao la pili.
Mwinyi Kazimoto,
akizunguka katikati ya Dimba.
Amri Kiemba, akimiliki
mpira katikati ya mabeki wa African
Lyon.

Post a Comment