Taarifa kuhusu uwezekano
wa matukio ya Mvua kubwa (zaidi ya milimita 50 katika kipindi cha saa 24 kila
siku) katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Rukwa, Iringa, Mbeya, Njombe, Ruvuma,
Morogoro, Pwani, Lindi, Mtwara na maeneo jirani ya mikoa hiyo kati ya tarehe 30
Januari, 2013 hadi 01 Februari, 2013.
Hali hii inatokana na kuwepo kwa kimbunga “FELLENG” kaskazini-mashariki mwa Madagascar ambacho kinavuta upepo wenye unyevunyevu kutoka Congo kupitia maeneo tajwa.
Hali hii inatokana na kuwepo kwa kimbunga “FELLENG” kaskazini-mashariki mwa Madagascar ambacho kinavuta upepo wenye unyevunyevu kutoka Congo kupitia maeneo tajwa.
Post a Comment