Mh Waziri mkuu Mizengo Pinda atembelea hifadhi ya katavi nakuweza kouna wanyama waliopo katika hifadhi hiyo. Kushoto kwa waziri mkuu ni mkewe Tunu Pinda akiwa ana tumia kiona mbali kuangalia simba waliokuwa katika mawindo kwa nyuma ni Bw. Sheni Abdallah mkurugenzi mkuu wa Katuma Bush Lodge iliyopo katika hifadhi ya Katavi.
Simba jike akiwa katiaka mawindo kwenye hifadhi ya Katavi.