ALIYEKUWA MAKAMU MWENYEKITI WA BAVICHA AMBAYE NI KADA WA CCM KWA SASA, JULIANA SHONZA ALIWAUMBUA DK SLAA NA JOHN MNYIKA. KWA UPANDE DK SLAA ALIZIDI KUUHAKIKISHIA UMMA KUWA DK SLAA ALIJICHOTEA MILIONI 140 KUTOKA MFUKO WA CHAMA KWA MATUMIZI YAKE BINAFSI. KWA UPANDE WA MNYIKA ALIMWELEZEA ASIVYO MAKINI NA HAUJUI UONGOZI NI NINI NA KUMUHAKIKISHIA AUSAHAU UBUNGE WA UBUNGO 2015. Picha na Emmanuel Shilatu
MTELA MWAMPAMBA NAYE PIA ALIPASUA JIPU LA KUWA JOHN MNYIKA ANA ELIMU YA KIDATO CHA SITA NA SI ELIMU YA CHUO KAMA ANAVYODAI. PIA ALIELEZEA NAMNA AMBAVYO MCHUMBA WA DK SLAA ANAVYOTUMIA RASILIMALI ZA CHADEMA KWA AJILI YA KUZUNGUKA MIKOANI KUMNADI DK SLAA KUPITIA BAWACHA ILI AWE MGOMBEA PEKEE WA CHADEMA WA URAIS 2015. HALIKADHALIKA ALIELEZEA NAMNA DK SLAA ALIVYOTAFUNA MILIONI 400 ZA MIRADI YA JIMBO LA KARATU. MKONONI MWAKE AMESHIKILIA KABRASHA LA MKUTANO WA NDANI WA CHADEMA LENYE USHAHIDI WA ANAYAOYASEMA
MBUNGE WA TEMEKE, ABAS MTEMVU
WANANCHI NA MAKADA WA CCM WAKISHANGILIA KWA KISHINDO BAADA YA KUKUNWA NA HOJA ZA WASEMAJI.
Post a Comment