Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

JAMAA ANAPOCHEKELEA KIFO CHA PADRI WA ZANZIBAR .... HUU NI ZAIDI YA UTAHIRA


Ndani ya Wiki Moja Watumishi wa Mungu wawili wameuwawa na huyu mpuuzi anafurahia wakati mie nilijua walofanya hayo Matendo ni wahuni sasa napata shida kuona mtu anafurahia mauaji ya Padri, mie nayalaani mauaji yeyote yale hata angeuwawa shehe si sawa kufurahia kifo! Hasira ya Mungu na iwake kwa hawa wanaoshiriki na kusheherekea vifo hivi haramu..
 
Download Our App

2 comments

Nyie ndo MATAHIRA na mapadre wenu

Reply

jamani kuweni na utu.mtu anapopoteza uhai c jambo la kuchekele awe shekhe au padri.Ifike mahali tujue tunapoelekea kwa kuendekeza udini tutpoteza amani hili c jambo la kufurahia.Tuombe vyombo husika vimtafut muhusika mapem ili kurestore our peace

Reply

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top