Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

JAMAA HUYU AMEKAMATWA NA KIGANJA CHA MKONO, SONGEA



Picture

Mtuhumiwa aliye kamatwa na kiganja cha Binadamu Denes Fransis Kafinje akihojiwa na Jeshila Polisi Mkoani Ruvuma. (picha ya kiganja imefichwa nyuma ya picha hii, ikiwa una ujasiri, bofya picha kukiona)
Ni jambo la kipumbavu linaloendelea miongoni mwa wanajamii wanaoamini na kutegemea kufanikiwa na kupata faida kubwa katika biashara zao kwa kutumia viungo vya binadamu wengine.

Kwa mujibu wa Songea Habari - Yaliyojiri Mkoani Ruvuma blog, zipo tTarifa zilizotolewa na RPC Mkoa wa Ruvuma, Deusdedit Nsimike kuwa kijana mmoja kwa jina la Denes Fransis Kafinje mkazi wa Lizaboni amekamatwa akiwa na kiganja cha mkono wa binadamu akiwa amekihifadhi kwenye boksi.

Kwa kuwa hadi sasa hazijaripotiwa mkoani humo tarifa za mtu kukatwa kiganja, huenda kimetoka mkoa mwingine.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top