Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akifungua warsha maalumu itakayojadili mikakati ya kutekeleza ili
kufikia Dira ya Maendeleo Tanzania 2025 katika hoteli ya White Sands jijini Dar
es Salaam jana. Warsha hiyo inaongozwa na Waziri Idris Jala Kutoka Malaysia
aliyebobea katika masuala ya Uchumi na Maendeleo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete,Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal(Watatu Kushoto),Waziri Mkuu
Mizengo Pinda(wane kushoto) na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(Wapili
kulia) na,Gavana wa Benki Kuu Profesa Benno Ndulu.Wakiwa katika picha ya pamoja
muda mfupi baada ya ufunguzi wa Warsha Maalumu itakayojadili mikakati ya
kutekeleza ili kufanikiwa kufikia Dire ya Maendeleo Tanzania 2025 inayofanyika
katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.Warsha hiyo inaongozwa na
Waziri Idris Jala Kutoka Malaysia(wapili kushoto)(picha na Freddy
Maro)
Baadhi ya Washiriki
wanaohudhuria Warsha Maalum itakayojadili mikakati ya kutekeleza ili kufikia
Dira ya Maendeleo Tanzania 2025 katika hoteli ya White Sands jijini Dar es
Salaam jana. Warsha hiyo inaongozwa na Waziri Idris Jala Kutoka Malaysia
aliyebobea katika masuala ya Uchumi na
Maendeleo
on Saturday, February 23, 2013
Post a Comment